Je wewe ni mpenzi wa muziki wa zamani maarufu kama Zilipendwa? Kama
ndio basi unahitaji kuwa na App hii kwenye simu yako. Muziki Zamani
itakuwezesha kusikiliza nyimbo zilizotamba miaka ya nyuma popote
ulipo.
NB: App hii inatumia internet kukuwezesha kusikiliza muziki lazima simu yako iwe imeunganishwa kwenye mtandao ili uweze kutumia huduma hii.
NB: App hii inatumia internet kukuwezesha kusikiliza muziki lazima simu yako iwe imeunganishwa kwenye mtandao ili uweze kutumia huduma hii.
Show More >