A2ZAPK

Matukio Tz

Matukio Tz

Downloads: 46618


Free

Matukio Tz / Specifications

Matukio Tz / Screenshots

Matukio Tz Unknown
Loading... Matukio Tz Unknown
Loading... Matukio Tz Unknown
Loading... Matukio Tz Unknown
Loading... Matukio Tz Unknown
Loading... Matukio Tz Unknown
Loading... Matukio Tz Unknown

Matukio Tz / Description

Matukio Tz ni app ambayo itakuwa ikikuletea taarifa mbalimbali zinazotokea ndani ya Tanzania na Ulimwengu pia Kiujumla taarifa hizo zimetegwa katika mafungu makuu manne kama ifuatavyo;

HABARI Hapa utakuwa ukijuzwa matukio mbalimbali yanayojiri hapa nchini Tanzani na pia yale yatokeayo nje ya mipaka ya TanzaniaKijamiiKiuchumi na Kibiashara.

MICHEZO Katika sehemu hii ya michezo mdau wa soka utakuwa ukifurahia taarifa za soka kuhusiana na timu kongwe Yanga na Simba ni pia taarifa za ligi zote kuanzia ligi kuu hadi ligi za madaraja ya chini yake pia taarifa za ligi mbalimbali ulaya na wachezaji wake utakuwa ukizipata kupitia app hii.

BURUDANI Hii sehemu ambayo ww mpenzi wa muziki na tamthlia za kutafsiliwa kiswahili utakuwa ukitazama tamthilia hizo mojamoja kwa mojoja mtandaoni au kwa kuzipakua kwanza kwenye simu na baadae kuziangalia ukiwa hutumii mtandao wa internetpia utaweza kupakua nyimbo mpya zinazotoka kila ikiwa ni video na audio pia.



App hii ni mahususi kwako ww mtanzania mwenzangu kwani mambo yaliyomo ni maalamu na muhimu sana ndani ya Tanzania.

Ahsanteni.

Show More >

Matukio Tz / What's New in vUnknown

Furahia Habari,Michezo,Burudani, Radio pia na Videos

Choose Download Locations for Matukio Tz vUnknown

Matukio Tz / Tags

Share Matukio Tz At Social Media

.